'Msaada Ku-install Java wakuu'

'Msaada Ku-install Java wakuu'

'nimesha-download wakuu kupitia offline installer na nime-install tayari ila kwenye ku-verify inaleta msg hii hapa wakuu...

We are unable to verify if Java is currently installed and enabled in your browser.

If you have installed Java and there is an error with the verification,there could be a configuration issue (e.g browser,Java control panel,security settings). Try restarting your browser before trying to verify the installation again...

hiyo ndio msg nnayopokea wakuu...'
 
Nina uhakika kwa 100% huwezi kufanya installation kama hiyo installer inategemea Service ya Windows Installer.

Installer ya Java inategemea Windows Installer Service. Kama ingekuwa ni installer nyingine ambayo haitegemei Windows Installer mfano kama VLC n.k unaweza kuinstall kama kawaida ukiwa kwenye safe mode/

Windows Installer ina limitation nyingi...
Limitation nyingine ya windows Installer ni inayo limit idadi ya installation kufanyika kwa wakati mmoja. (huwezi kuinstall zaidi ya software moja kwa wakati mmoja kama zote zinategemea Windows Installer) nadhani utakuwa umesha wahi kukutana na hii issue unambiwa subiri setup moja ikamilike ndo uendelee na installation nyingine

'nimesha-download wakuu kupitia offline installer na nime-install tayari ila kwenye ku-verify inaleta msg hii hapa wakuu...

We are unable to verify if Java is currently installed and enabled in your browser.

If you have installed Java and there is an error with the verification,there could be a configuration issue (e.g browser,Java control panel,security settings). Try restarting your browser before trying to verify the installation again...

hiyo ndio msg nnayopokea wakuu...'
 
'nimesha-download wakuu kupitia offline installer na nime-install tayari ila kwenye ku-verify inaleta msg hii hapa wakuu...

We are unable to verify if Java is currently installed and enabled in your browser.

If you have installed Java and there is an error with the verification,there could be a configuration issue (e.g browser,Java control panel,security settings). Try restarting your browser before trying to verify the installation again...

hiyo ndio msg nnayopokea wakuu...'

unatumia browser gani?

Process ya verification inayofanyika kwenye browser kabla ya ku-run itakuomba ruhusa kufanya hivyo. Inabidi uiruhusu ifanye mambo yake.

Mfano huu: Capture.PNG

Ikishindikana jaribu ku-restart browser yako au pc kuona kama tatizo limeisha.....
 
unatumia browser gani?

Process ya verification inayofanyika kwenye browser kabla ya ku-run itakuomba ruhusa kufanya hivyo. Inabidi uiruhusu ifanye mambo yake.

Mfano huu: View attachment 121246

Ikishindikana jaribu ku-restart browser yako au pc kuona kama tatizo limeisha.....

'natumia firefox mkuu...'
 
Back
Top Bottom