'Msaada Ku-install Java wakuu'

'Msaada Ku-install Java wakuu'

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,440
Reaction score
2,450
'habari zenu wana-jamvi natumai nyote mko salama kabisa wakuu....................ndugu mi nna tatizo kwenye ku-install java nime-download 64bit kwa maana machine yangu system type ni 64bit nikai-download lakini inaingia kiasi then inakata inaniletea ujumbe huu hapa wakuu...

jre-7u45-windows-x64exe. could not be saved,because the source file could not be read...

sasa sjafaham tatizo ni nini na nikajaribu ku-download 32bit nayo ikaleta ujumbe huu hapa

jre-7u45-windows-i586.exe is not a valid Win32 application.

nahitaji msaada wenu wakuu,natanguliza shukran za awali'
 
kwenye hiyo 64 bit, inawezekana hilo file ulilo download limecorupt.
Lifute, download upya then jaribu tena kuinstall.
 
kwenye hiyo 64 bit, inawezekana hilo file ulilo download limecorupt.
Lifute, download upya then jaribu tena kuinstall.

'nilisha-futa mkuu nika-download upya bado ikawa inaleta msg hiyo hiyo kiongozi...'
 
au jaribu ku install kwa safe mode

'ku-install kwa safe mode...................may you please tell me how to do it coz siko saaaana kwenye izi vitu za IT mkuu,need ur help'
 
au jaribu ku install kwa safe mode

'ku-install kwa safe mode...................may you please tell me how to do it coz siko saaaana kwenye izi vitu za IT mkuu,need ur help'
 
Hakikisha umedownload kutoka Download Free Java Software . Pia inawezekena labda antivirus yako ikawa ina-interupt installation so jaribu pia kui-disable kwa muda.
Fatma Bawazir safe mode haitamsaidia kwa sababu Windows Installer Service haiwezi ku-run kwenye safe mode.
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuona mtu anashindwa ku install jdk au jre .Mara nyingi jre huwa ni updates kutoka java.

Kabla hujaendelea hebu type java -version kutoka kwenye command prompt
 
'nime-download kutokea filehorse.com na machine haina anti-virus ndo nahitaji kuweka soon...'
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuona mtu anashindwa ku install jdk au jre .Mara nyingi jre huwa ni updates kutoka java.

Kabla hujaendelea hebu type java -version kutoka kwenye command prompt

'then nikisha-type mkuu nafanyeje kiongozi...'
 
Kuhusu installation wakati pc ikiwa kwenye safe mode.
Nina uhakika kwa 100% huwezi kufanya installation kama hiyo installer inategemea Service ya Windows Installer.

Installer ya Java inategemea Windows Installer Service. Kama ingekuwa ni installer nyingine ambayo haitegemei Windows Installer mfano kama VLC n.k unaweza kuinstall kama kawaida ukiwa kwenye safe mode/

Windows Installer ina limitation nyingi...
Limitation nyingine ya windows Installer ni inayo limit idadi ya installation kufanyika kwa wakati mmoja. (huwezi kuinstall zaidi ya software moja kwa wakati mmoja kama zote zinategemea Windows Installer) nadhani utakuwa umesha wahi kukutana na hii issue unambiwa subiri setup moja ikamilike ndo uendelee na installation nyingine
 
'then nikisha-type mkuu nafanyeje kiongozi...'

Utaona java version gani iko kwenye system yako,au hujaainstall kabisa

angalia print screen ya java niliyonayo kwenye system yako java.png
 
Back
Top Bottom