Msaada ktk Termination of Employment

Jun 7, 2012
65
12
Termination of Employment under ELRA read together with S 4 of the ELR(code of Good Practice)
S.4(3) na (4) Kama Mfanyakazi ameendelea kufanya kazi na baada ya mwezi mmoja (baada ya mkataba kuisha) nikampa barua ya kumweleza mkataba umekwisha kwani alikua stabon kwangu pia. Sasa amenishitaki. Natafuta ma nondo ya kumtoa ila anatumia s 4(3) na (4) ya Empl & Labour Relation (Code of Good Practice)

Msaada hapo...
 
Back
Top Bottom