Msaada: Kozi ya Information Communication inahusu nini?

Msaada: Kozi ya Information Communication inahusu nini?

Joined
Jul 15, 2016
Posts
15
Reaction score
0
Tafadhali nisaidieni waungwana,
Hii kozi iitwayo Certificate in Information Communication ni kozi inayohusu nini?
 
mawasiliano yan unaweza kuajiriwa kwenye kampun za mawasiliano kama tigo,vodacom,halotel,sasatel,airtel,zantel,ttcl n.k
 
Back
Top Bottom