Msaada: Kozi ya Energy Resources inahusu nini?

Sheehan

Member
Apr 19, 2022
71
57
Habari za mda huu wana ndugu wa JF,

Kuna kozi pale open university inaitwa Bachelor of science in Energy Resources hii kozi inahusu nini na fursa zake ni zipi?
 
Habari za mda huu wana ndugu wa JF,
Kuna kozi pale open university inaitwa Bachelor of science in Energy Resources hii kozi inahusu nini na fursa zake ni zipi?
Soma prospectus yake. Ila kwa mbali naona inaendana endana na mambo renewables .
 
shukran sana je vipi kuhusu fursa zake...?
Answer1: From my experience. Hakuna field isiyo na fursa kama ukiwa smart au valuable person.

Kwa chochote utachosoma itategemea jinsi utakavyo ji position na kuhakikisha unakua smart/valuable.

Answer2: kama passion yako ni maswala ya energy kwanini usisome electrical engineering au renewable energy engineering ya udom?

Yote ni majibu, chagua linalo kufaa.
 
Back
Top Bottom