Msaada kozi Bachelor of science in industrial engineering management

T14 Armata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Posts
13,927
Reaction score
47,182
Tafadhari mwenye uelewa na kozi tajwa aniekeze vipi ina soko, ajira, mahitaji, competition kwenye ajira, n.k
Nimechaguliwa hiyo kusoma pale SUA but sina uelewa nayo sana
 
hi no kozi inahusiana na how to manage industry haipo kienginear zaidi unasoma principles and theory of management kwa experience ya washikaji waliosoma udsm
 
sorry kaka unawez ongeza nyama kidogo maana sijawahi isikia kabla.sijui kama itakuja kunisaidia
 
Tafadhari mwenye uelewa na kozi tajwa aniekeze vipi ina soko, ajira, mahitaji, competition kwenye ajira, n.k
Nimechaguliwa hiyo kusoma pale SUA but sina uelewa nayo sana
Sua wameanza lini kutoa hii kozi? Mimi najua inatolewa mzumbe!!

Either way, jua ukimaliza hutotambulika kama injinia maana hamna content ya engineering unasoma kwenye hiyo kozi.
 
Mimi nahitaji msaada kuhusu hii bachelor of science in industrial engineering management nimepata ya mzumbe Ila sijui inahusu nini nitafanya kazi gani je inasoko navyuo vingapi vina hiyo kozi
 
Back
Top Bottom