Efendi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 315
- 438
Wakuu habari, nina PC yangu aina ya dell optiplex 780 naitumia kwa shughuli za kuingiza nyimbo, movie etc kipindi cha nyuma ikawa haitoi sauti nikahangaika nayo wadau wakanishauri nipige window ili tatizo la kutotoa sauti litaacha, nikapiga window bado tatizo likabaki pale pale.
Ikabidi ninunue soundcard ikawa inapiga kaz fresh sasa jana ikanzingua tena ikakata sauti nikaenda kutest soundcard kibanda cha jirani soundcard ikaonekana nzima ikabidi niingie youtube, nikachek video kadhaa za kupata msaada moja ya video ikanielekeza kudowndoad driverpack nilivyodownload na kuinstall ile driverpack ule upande wa awali uliozingua ukakaa sawa na ile soundcard ikawa haisomi but tatizo sauti imerudi lakini sio base inatoka mid(nyembamba)
So wadau naomben msaada wenu Windows 7 ultimate ndo naitumia kwenye computer