Mimi ni mkazi wa Mwanza mnamo tarehe 10/07/2017 nilimtumia member mmoja kwenye hili thread ya matangazo madogomadogo yaani wauzaji wa tv amekuwa akinizungusha hela zangu anazo na amekuwa akinihakikishia kuwa tv hatonipa na hela yangu hawezi kurudisha sina utaalamu wa kisheria naombeni msaada pahali pa kuanzia