Msaada: King'amuzi cha Azam Tv kinaniandikia 'no program'

Msaada: King'amuzi cha Azam Tv kinaniandikia 'no program'

option

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,499
Wakuu tafadhali kisimbuz changu cha Azam kinaniandikia No program nimekitumia takribani mwaka, jana kuna dogo kaminyaminya rimoti sijui hata kafanyeje leo nawasha nakuta no program. Msaada tafadhari.
 
Bonyeza menu halafu bonyeza search halafu bonyeza auto search.then ok mara mbili..subiri itafute yenyewe.zitarudi zote.
 
PIGA NAMBA HIZI.

HUDUMA KWA WATEJA AZAMTV.

0764700222 AU 0784108000
 
Poa mkuu but kwangu QUALITY INASOMA 85 NA INTESITY HUWA INACHEZA KWENYE 55-60
 
Dish lako ndio tatizo mtafute fundi akurekebishie. Halafu pia huyo mtoto unaesema sijui aliminya wapi alibofya palipoandikwa restore factory deafault hivyo bofya menu kisha nenda instalation kisha tp and sat then chagua tp yenye signal kubwa then cheza na dish hakikisha signa inacheza 85 kwa 45 na sio chini ya hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom