Msaada king'amuzi cha Azam kinasumbua

Msaada king'amuzi cha Azam kinasumbua

miss chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
303
Reaction score
660
Habari zenu wapendwa? naombeni msaada nifanyaje natumia dishi la azam sasa hiki kipindi cha mvua napata shida sana chaneli hazishiki king'amuzi kinakatakata sana wakati mwingne haioneshi kabisa kukiwa na mawimbi naombeni msaada nifanyaje kusolve hili tatzo maana nakerekwa unakuta naangalia movie nzuri alafu inakatakata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo PM nikurekebishie au nikupe cha DSTV
 
Kwa azam hilo sio tatizo ni kawaida yao vyote vipo hivo wateja wao. Wanalijua hilo. Labda ww ni mteja wao mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom