Msaada kimawazo

Msaada kimawazo

789

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
262
Reaction score
204
Morn jf.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kimawazo mwanzo niliambiwa nitafute chuo nikachaguliwa certificate in law mzumbe now Wazazi wanasema hawana Ada nivumilie mpaka mwakani ila watashulikia kuhusu kuingia jkt
Nipo confused Yani
Nifanye Au nisome kitu gani kifupi Kwa kipind ichi niki wait Ada yA chuo
 
unasubiri ada ya chuo ipatikane hapohapo unataka zitoke hela usomee kitu kifupi.
 
duh hapo fata mawazo ya wazaz siunaelewa ukivuruga bola uelewane na wazaz mh na kuhusu kitu cha kusoma labda nikushauri usome computer maana minilipitia kote uko nikwa ushauri wangu
 
Ngoja ni wait kaka
 
Kwa tatizo lako hilo mm kwa upande wangu naweza xema hivi: kila m2 hupenda kufanya bidii ili mladi2 atimize ndoto zake za kimaisha lkn kutimiza ndoto hizo mambo mawili yaweza tokea; eidha kufanikiwa ktk mda mwafaka au kuchelewa kidogo sasa kwako ww lengo lako limechelewa kidogo lkn amin 2 kwamba lipo hivo kubaliana na changamoto hiyo alf ufany mishe nyngn unapo subir wazaz kukamilisha ma swala ya ada KIMSING unaweza enda lkn ukasumbuka sana kwasababu ya ukosefu wa hera! kwahiyo vumilia 2 lkn USIPOTEZE LENGO LAKO MKUU!
 
dhaaaa niimekupata xana mkuu
 
Back
Top Bottom