eliot christopher
Member
- Mar 15, 2016
- 8
- 6
naona unataka kupishana na gari la mshahara wewe.... shauri yako nenda.... lakini utanikumbuka comment yangu ukifika mwaka watatu..... hata mm nilikuwaga na mawazo kama yako nilipochaguliwa Electrical Engineering..... leo hii nafurahia sana sana sekta ya umeme inavonipa ulaji.jamani wakubwa heshima zenu... Mimi nimechaguliwa diploma in civil ila nataka niamie computer engeneering kwasabab naipenda computer kutoka moyoni lakini watu wananikatisha tamaa wanasema nafanya kitu cha ajabu... Naombeni msaada kimawazo
nenda uishie kuBURN CD mtaaniNataka niende computer eng kwasab naipenda na nimeanza kujifunza mambo mengi kama programming kabla ata sjafkiria kuchaguliwa chuo
Kijana unapotea niia,tulia huko huko CIVILjamani wakubwa heshima zenu... Mimi nimechaguliwa diploma in civil ila nataka niamie computer engeneering kwasabab naipenda computer kutoka moyoni lakini watu wananikatisha tamaa wanasema nafanya kitu cha ajabu... Naombeni msaada kimawazo
bro computer science nayo imekaajeNaona wengi mnamkatisha tamaa, mimi binafsi nimesoma Bachelor's Degree ya Computer Engineering (hapa nchini) na Master's Degree ya Software Engineering (nje ya nchi).
Hii fani kama unaipenda na ukiwa na bidii ya kusoma zaidi ya yale unayofundishwa darasani basi inalipa possibly kuliko fani nyingine zozote unazoweza kufikiria, wakati ninaanza kusoma watu wengi walinikatisha tamaa na kuniambia nitaishia kuburn cd mtaani na kuua virus kwenye computer za ndugu zangu lakini kutokana na juhudi zangu binafsi nilianza kutengeneza hela wakati bado nipo chuoni, binafsi niliacha kutegemea boom (mkopo) nilipofika mwaka wa 2 chuo.
Nakushauri kama ulianza kujifunza programming kabla hata ya chuo una mwelekeo mzuri na unaweza kufanikiwa sana katika fani hii ukiendelea na juhudi zako.
Wengi unaowaona wababaishaji katika sekta hii ni wale ambao walikimbilia fani bila kujua ni nini hasa wanatakiwa kufanya ili kufanikiwa.
View attachment 430114