Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

Nadhani wanawake wengi wangekuja hapa kutoa ushuhuda kama hali hiyo inatokea kwao vile vile!
 
Hello guys, mnaendeleaje?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala.

Iko hivi;

Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya huku mkono mmoja kashika ziwa, kiukweli mimi ile hali nimekuwa nikijikojolea (kufika mshindo).

Hapo mwanzo nilidhani huenda ni mara moja tu ingeisha lakini kila nilipokuwa nikimyonyesha mwanangu lazima akianza kuchezea nyonyo najikuta najikojolea tena kojo haswaaa!

Ilifika wakati nikawa sikai nje kabisa wakati wa kumpa nyonyo mwanangu maana hali ilikuwa mbaya sana!

Kibaya zaidi hiyo hali imenirudia tena hadi muda huu ambapo mwanangu ana miaka 3, yaani ikifika usiku nikishamuosha nikampakata tu mikononi wakati anasinzia, najikuta ule muda nimempakata najikuta najikojolea (kufikia mshindo).

Hii hali huwa ni kawaida kwa wadada au kwangu uenda ikawa ni tatizo?

Tafadhali msinidhihaki na kunitukana, nipeni ushauri
Jamii forum kuna vichekesho

Usiniambie kwamba mwanao anakutia nyege ah k*****k

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Pole sanaa hiyo hali ya sexual satisfcation sababu ya kunyonyesa inawezekana kabisa ila kwako imekuwa too much hapo dawa ni kumuachisha maziwa unaweza tumia bromocriptine pia kusaidia kustop milk production sucking yake kwa mtoto wa miaka 3 kiukweli inakuwa kwa namna flani inaleta msisimkoo wa kutosha ubaya na wew ushanogewa.
Najua hii ni chai lakini kwanini unamshauri mama mtoto kuacha kumnyonyesha mtoto wake..so irrational.
 
Hello guys, mnaendeleaje?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala.

Iko hivi;

Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya huku mkono mmoja kashika ziwa, kiukweli mimi ile hali nimekuwa nikijikojolea (kufika mshindo).

Hapo mwanzo nilidhani huenda ni mara moja tu ingeisha lakini kila nilipokuwa nikimyonyesha mwanangu lazima akianza kuchezea nyonyo najikuta najikojolea tena kojo haswaaa!

Ilifika wakati nikawa sikai nje kabisa wakati wa kumpa nyonyo mwanangu maana hali ilikuwa mbaya sana!

Kibaya zaidi hiyo hali imenirudia tena hadi muda huu ambapo mwanangu ana miaka 3, yaani ikifika usiku nikishamuosha nikampakata tu mikononi wakati anasinzia, najikuta ule muda nimempakata najikuta najikojolea (kufikia mshindo).

Hii hali huwa ni kawaida kwa wadada au kwangu uenda ikawa ni tatizo?

Tafadhali msinidhihaki na kunitukana, nipeni ushauri
Mwandiko wa dume huu
 
Back
Top Bottom