Msaada, Kikuu online market

vip kuhusu AliExpress bidhaa zao zikoje
 
vip kuhusu AliExpress bidhaa zao zikoje
Hawa wapo vizur ila napo usinunue used wala refurb jichange ununue mpya na kabla ya kununua penda kupitia comments za walionunua hiyi bidhaa na pia sizan kama aliexpress kuna freeshiping kama kikuu kwa kila bidhaa
 
Hawa wapo vizur ila napo usinunue used wala refurb jichange ununue mpya na kabla ya kununua penda kupitia comments za walionunua hiyi bidhaa na pia sizan kama aliexpress kuna freeshiping kama kikuu kwa kila bidhaa
asante kiongozi
 
Nyongeza ya hiyo Mkuu, Online bidhaa zipo chini, fuatilia maelekezo ya mdau.
Simu za XIAOMI na REALME ziko vizuri sana.
Angalia Xiaomi REDMI Note Series. Ziko vizuri mno. Pia naungana na Patra 31. Nunua Simu mpya.
 
Shida sio kikuu au aliexpress. Shida ni hyo simu alionesha hapo ni fake. Yaani achana na simu feki kabisa ni matatzo. Ni bora anunue kma ww ulivyofanya, simu inayotoka kwenye company inayojulikana

Tafsiri ya simu fake ni nn
 
Viwango vipi vilivyoainishwa
Umeona ile picha kule juu? Wameandika 512GB storage na 12GB RAM kwa laki 2. Muonekano uliowekwa hapo kwenye picha yenyew haufanani kabisa na simu yenyewe ikija. Hiyo hafikii viwango hvyo kabisa. Na pia inajribu kutrick watu ionekana kma ni Samsung
 
Achana nayo hizo sim za kikuu nyingi ni toys mana bora ingekua feki afazali, kuna jamaa yangu kaagiza sim inaitwa i12 pro,ina Rom 512 gb. Imekuja sim rom haifiki hata 4gb
 
Mkuu kwa ushauri wangu kununua simu ni bora uende dukani au kama ni nje basi uagize mtu unayemuamini,simu zinazouzwa KiKUU hazinaga majina ya brand,hali inayofanya nisiziamini kabisa
Lakini kama unanunua bidhaa tofauti na simu na vitu vikubwa,KiKUU ni sehemu nzuri tu tena vitu bei chee kabisa
 
Kama unataka kununua kitu Kikuu jaribu kwanza kum consult seller Mimi huwa nanunua karibu kila kitu kupitia seller mmoja na Mara nyingi wauzaji Wa Kikuu huwa wanaenda kulangua kwingine, sio wote ni wauzaji, ukiona umeagiza mzigo mwanzo au kati ya wiki na wiki ikaisha mzigo ujafika airport ujue hicho kitu umenunua kwa mtu ambae hana na yeye kaenda kutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…