Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,011
- 1,999
watakuwa samsung haoMmmh !
Hiyo simu ni ya kampuni gani iliyoitengeneza tuifatilie specs zake
Me samsung fan mzeewatakuwa samsung hao
asante kamandaSimu feki hyo mkuu. Achana nayo. Nakuhakikishia kuwa haina 512GB storage wala 12GB RAM. Haipo hyo kitu kwa laki 2. Na hakuna samsung note 25 or s25. Latest samsung ni S21 series na zinaanzia 2Milion kwenda juu. Yaan ni bora ukananunue tecno kkoo ya hela hyo itakua simu bora kuliko hilo kopo hapo
kwa bei hiyo simu ipi ni boraSimu feki hyo mkuu. Achana nayo. Nakuhakikishia kuwa haina 512GB storage wala 12GB RAM. Haipo hyo kitu kwa laki 2. Na hakuna samsung note 25 or s25. Latest samsung ni S21 series na zinaanzia 2Milion kwenda juu. Yaan ni bora ukananunue tecno kkoo ya hela hyo itakua simu bora kuliko hilo kopo hapo
Simu feki hyo mkuu. Achana nayo. Nakuhakikishia kuwa haina 512GB storage wala 12GB RAM. Haipo hyo kitu kwa laki 2. Na hakuna samsung note 25 or s25. Latest samsung ni S21 series na zinaanzia 2Milion kwenda juu. Yaan ni bora ukananunue tecno kkoo ya hela hyo itakua simu bora kuliko hilo kopo hapo
Shida sio kikuu au aliexpress. Shida ni hyo simu alionesha hapo ni fake. Yaani achana na simu feki kabisa ni matatzo. Ni bora anunue kma ww ulivyofanya, simu inayotoka kwenye company inayojulikanaHawa jamaa mara nyingi wanauza Mitumba ya Simu kwa Kampuni Kubwa kama IPhone, Samsung, Oppo, Huawei, Xiaomi, Vivo, Meizu, HTC,LG, NOKIA, Motorola. Kidogo Xiaomi ndo wameanza kuuza simu mpya.
Ukiagiza simu huchukua siku 28-hadi 45 kwa wale tulioko mikoani. Ila kwa kweli simu zao ni za Ukweli.
Kama wadau walivyokushauri usinunue simu usiyoifahamu, angalia Makampuni maarufu kama nilokutajia hapo juu. Kwa mfano kama umetulia kuna OPPO yenye RAM 6GB na Rom 128 GB inauzwa kwa TZS. 400,000/= almost ni mpya japo ni mtumba.
Jaribu pia uangalie Reviews za watu walokwisha nunua bidhaa kwa huyo seller.
Kwa ufupi hawa jamaa ni waaminifu sana. Lakini unahitajika moyo wa uvumilivu sana kusubiria mzigo wako. Jambo jingine kama uko mbali na Makao makuu ya Mkoa, hii ni changamoto, mzigo unaishia mkoani tofauti na Aliexpress ambao wao wanakuletea hadi Posta ya karibu au Wilayani.
View attachment 1741825
Umenena ukweli zaid 💪💪Simu feki hyo mkuu. Achana nayo. Nakuhakikishia kuwa haina 512GB storage wala 12GB RAM. Haipo hyo kitu kwa laki 2. Na hakuna samsung note 25 or s25. Latest samsung ni S21 series na zinaanzia 2Milion kwenda juu. Yaan ni bora ukananunue tecno kkoo ya hela hyo itakua simu bora kuliko hilo kopo hapo
Mkuu, pia nakubaliana na wewe. Kuna jamaa huku alinunua simu kama hiyo katika hali halisi ilikuwa Ram 512Mb Rom 8Gb. Pia haikupita muda TCRA waliiblock.Shida sio kikuu au aliexpress. Shida ni hyo simu alionesha hapo ni fake. Yaani achana na simu feki kabisa ni matatzo. Ni bora anunue kma ww ulivyofanya, simu inayotoka kwenye company inayojulikana
asante kamanda ngoja nianze kufuatiliaMkuu Jitahidi kuwa unasoma feedback review za wateja kwenye post husika. Kwa kufanya hvyo utapata majibu kama bidhaa ni kimeo au sio kimeo.