Nipo na current material ya LAN and Switching 4.0 ambayo kuna topics za Basic wireless concepts and configuration, wireless LAN standards/wireless Infrastructure components, wireless operations/wireless LAN security, securing wireless LAN na mengineyo sijui ni aina ya material uyatakayo au la. Pia Accessing WAN 4.0 kuna material kuhusu wireless hivyo nijurishe kama ni hayo utakayo. Cisco wireless security materials yake ntakuwapo nayo kuanzia August 14.
yeah, ninayomaterials ya CCNA 640-802, pia muda wowote cisco watatoa packet tracer version mpya ambayo itakuwa na uwezo wa kusimulate aina yoyote ya network kutoka cisco products. ntakutayarishia nikurudi home baadaye.
yeah, ninayomaterials ya CCNA 640-802, pia muda wowote cisco watatoa packet tracer version mpya ambayo itakuwa na uwezo wa kusimulate aina yoyote ya network kutoka cisco products. ntakutayarishia nikurudi home baadaye.
mkuu samahani kwa kuchelewesha kukujibu sasa ni hivi unaweza kunicheki moja kwa moja maana hayo materials yapo kwenye cd/dvd hivyo nicheki kwa email ym2000@hotmail.com nikutumie nishaburn tayari.
Mkuu ushafanikisha? kwani hapa nina materials ambayo ni current kwa huo 802.
By the way nilitaka kujua unasoma ili ufaulu au kwa ajili ya kupata Knowledge? kwani kama kwa ajili ya CCNA hakuna haja ya kucrack kwa sana,kuna kitabu Sybex.CCNA.Study.Guide.6th.Edition kama ukikipata hiki basi umeshamaliza kwani CCNA ni just basic.
Ila kama ni kwa jili ya kupata minondo basi baada ya hapo unaweza endelea kwani nakumbuka kipindi napiga CCNA(last year) nilitumia hiki kitabu pamoja na tutorial fulani nikapasua kwenda mbele,hi9vi nipo hatua za mwisho kwa ajili ya CCIE-Security,
Kama una Internet nzuri ambayo utaweza kudownload,nina uwezo wa kukutumia faili liwe na ukubwa wowote hata 1GB,so nipe hints tu. Toka Uchinani.....
Juakali
vipi ndg mbona kimya?
nipe email yako,then powaaa
Nimeisha ipeleka posta.