msaada: kidato cha tano wanaanza masomo lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada: kidato cha tano wanaanza masomo lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ndechumia, Apr 10, 2012.

 1. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wa jf,
  mtot wa sister amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali, (TANGA SEC) hajapata barua ya mwaliko/maelezo( Instruction letter). Kuna mwenye kujua hizi shule zinaanza masomo lini?
  Natanguliza shukran,
  Ndechumia!!!!!
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  mbona washaanza kitambo mkuu?
   
 3. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  washaanza, anatakiwa aende kwenye shule aliyochaguliwa akachukue joining instruction, asisubirie barua
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Msimtishe, inategemea na shule. Ifakara wanaanza tar. 16
   
 5. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  hata mimi ninashida hiyo mtoto kachaguliwa kwenda Galanos Tanga hakuna chochote tulichopata mpaka sasa Na ikiwa mpaka aende Tanga akachukue join instruction halafu arudi tena huku kuchukua mahitaji wanayotaka halafu ndo aendde shule mbona ni kazi kubwa.

  ombi mwenye namba ya simu ya shule hiyo anisaidiae labda nijalibu kuwasiliana nao !!!!
   
Loading...