Ok asante,n macjala wa kule utumishi au?Mara nyingi hizo barua wanazificha km si uhamisho wa utaratibu yaani June au Dec. Barua kutoka Dodoma hadi Tanga haichukui zaidi ya wiki 2 maximum. Tafuta mtu wa masjala pale umshike mkono atakupa barua
Masjala ya mkurugenzi ndio wanapokea barua zote zinazopitia kwa mkurugenzi, utumishi hawahusiki na uhamishoOk asante,n macjala wa kule utumishi au?
Best umepataje iko kibali nimehangaika sana nitoke same niende moshi vijijiniHabari wadau
Hivi kibali cha uhamisho kutoka kwa katibu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi?
Na pia huweza kutumia muda gan hadi kufika? Maana yapata mwezi sasa kibali changu kilitumwa kwa mwajri wangu huku Tanga lakni bado hakijafika hadi sasa.
Best umepataje iko kibali nimehangaika sana nitoke same niende moshi vijijini

Habari wadau

yaap best, mm n uhamisho wa kubadil kada ndio maana unahusisha utumishi na sio tamisemiHabari wadau