Like a father like a son, Baba anapenda viatu vya aina fulani ambayo na mtoto anapenda, Huyo mbwa kiufupi hajatumwa wala nini ila mmemchanganya. Big up kwa kuwa na mtoto mnaye lingana mkuu ila watch out, msipende kutembelea maenea yanayo fanana (kama yeye anatembelea maeneo ya kusini basi wewe elekea kaskazini) lasivyo kuna mapanya mamende mapaka, kunguru nk nk..Nimeipenda hii
Hili sredi la mheshimiwa mosquito linahitaji uwe na masters ndo uweze kulichangia inavyostahili.
Ngoja nimalizie dissertation then nakuja.
Ndugu yangu klorokwini amepotelea wapi?
Ngoja nivae viatu vyake kabla havijaliwa na jibwa koko.
Kina mama hebu muulizeni Mbu anavaa kiatu saizi gani na mwanae saizi gani,maana tukiuliza sisi kinababa noma.Mbu unavaa kiatu saizi gani? Na mwanao je?Kwani Mbu mwanao ana umri gani na kiatu chake ni size gani?...
...nakushauri anza kuhangaikia kiatu chako wewe kwani hutowezapata kingine na mwanao kama ni mkubwa ahangaikie chake............................hapa nakunong'oneza tu.....angalia hilo jibwa lisijekwapua na cha Baba.................
Dahhh
nway hamna mawe hapo?
cum on Michelle,...try again bana, Read slowly,...digest it!
Wewe ni mmoja ninaowategemea kwenye ufumbuzi wa hili.
Hivi mnaongelea viatu hivi tunavyovaa miguuni au kuna kilichofichwa????
Nwy kamani viatu vya kawaida na mnavaliana basi mmoja avae vilivyobaki..
Ila ilikuaje mpaka huyo mbwa ashawishike kuchukua kimoja chako na kimoja cha mwanao???
kweli akili yangu imeshindwa kufumbua hili fumbo.....au labda nimechoka sana....nimesoma post zote na bado sijaelewa kabisa....nawapongeza sana wale walioelewa....:second:
Sasa kama wote mmefanana kihivyo kwanini viatu vyenu visikwapuliwe? Hasa ugenini....! ambako mkibalishana vyumba hamtatambulika.....!
Enyi Wana JF - MMU nisaidieni fumbo hili;
...nimekwenda ugenini na familia. Ghafla, kapita mbwa-koko (stray dog) akakwapua kiatu cha mwanangu akakimbia nacho (kusikojulikana.) Haijapita muda, akaja kukwapua na changu, akakimbia nacho.
Je? ...nianzie wapi na kuishia wapi?