Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,224
Wakuu nikiangaliaga kazi hizi mara zinapotangazwa hasa Ubalozi wa Uingereza ambao wanatoaga hadi kiasi cha malipo kwa kweli ni mishara mikubwa sana ukilinganisha na ya serikali yetu au Taasisi nyingine za hapa nchini yaani huwa natamani kufanya kazi hizo hata kwa miaka miwili tuu Ubalozi wa Uingereza Garderner analipwa TZS. 800,000.
Tatizo lipo kila nikiomba sifanikiwi Kudadeki hivi wanahitaji CV za aina gani hawa watu hasa Ubalozi wa marekani, Uingereza, Canada, Dernmark hawa wanatangaza kazi sana bila kusahau UNDP hawa nao nimeomba sana lakini 0% naombeni hata mfano wa CV ambazo naweza nikatoboa very difficult kwangu hizi kazi za Ku appy Online sijawahi kuitwa hata siku moja ukiacha Utumishi nina mashaka na waajiri kama huwa wanapitia maombi kweli.
Msaada Tafadhari.