Maombi ya kazi

Maombi ya kazi

border mc

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
41
Reaction score
46
Msaada wandugu
nimekula hela ya "ada"ya chuo, naombeni mwenye hata kakibarua cha kufanya kwa wiki anipee nifanye[emoji24][emoji24]

Mimi napatikana bagamoyo
Natanguliza shukrani[emoji120]

Mawasiliano 0682019085
 
Ada umeilia wapi kati ya maeneo haya? Kuwa mkweli
1. Kamari
2. Mapenzi(umehonga kama rapcha)
3. Pombe na kujimwambafai
4. Kutaka kujikuna usipofikia- hii ilinitokea mimi nikiwa chuo mwaka wa pili. Nilikuwa nakaa na mshkaji kero sana nikaamua kutumia ada kwenda kupanga kwingine na kununua vitu vingine vya ndani, nilivyokuwa na jeuri na akili za kiwehu mshkaji alinishauri tuuze tugawane hela nikamwambia asiwaze abaki navyo tu, baada ya hapo nilikoma nikashindwa kuirejesha ile ada na sikufanikiwa kufanya UE nikasign spesho.
 
Namba nne mkuu na mimi imenikuta kama wewe ila tofauti kidogo sana
 
Ada umeilia wapi kati ya maeneo haya? Kuwa mkweli
1. Kamari
2. Mapenzi(umehonga kama rapcha)
3. Pombe na kujimwambafai
4. Kutaka kujikuna usipofikia- hii ilinitokea mimi nikiwa chuo mwaka wa pili. Nilikuwa nakaa na mshkaji kero sana nikaamua kutumia ada kwenda kupanga kwingine na kununua vitu vingine vya ndani, nilivyokuwa na jeuri na akili za kiwehu mshkaji alinishauri tuuze tugawane hela nikamwambia asiwaze abaki navyo tu, baada ya hapo nilikoma nikashindwa kuirejesha ile ada na sikufanikiwa kufanya UE nikasign spesho.
Imenikuta hiyo ya namba nne mkuu
 
Back
Top Bottom