Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 687
- Thread starter
- #21
Sante sanaTCAA - TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY
ICAO- INTERNATIONAL CIVIL AVIATION ORGANIZATION
IATA - INTERNATIONAL AIR TRANSPORT AUTHORITY
Sante sanaTCAA - TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY
ICAO- INTERNATIONAL CIVIL AVIATION ORGANIZATION
IATA - INTERNATIONAL AIR TRANSPORT AUTHORITY
Anzisha Uzi wako maana paper jmamosi kesho kutwaHata mimi pia nimeitwa hiyo post ya airport security officer,
Je hivi mnavyovielezea hapa vinanihusu namimi pia au ni vya huyo mdogo wake tu afu mimi nisubiri nianzishe uzi wangu kuulizia hiki hiki?
Umeshafika DUCE.Hata mimi pia nimeitwa hiyo post ya airport security officer,
Je hivi mnavyovielezea hapa vinanihusu namimi pia au ni vya huyo mdogo wake tu afu mimi nisubiri nianzishe uzi wangu kuulizia hiki hiki?
Nakuona black mamba kwenye ubora wkoThanks
Komaa baba upitie na ukonga utusalimie asee
Nitasogea pande hizo we ongeza maombi tuKomaa baba upitie na ukonga utusalimie asee
Mdogo wako ama wewe???? TehPia na mm mdogo wangu kaitwa nafasi ya airport operation officer je vinaenda na hiyo au ikoje wakuu tusaidiane
Wakuu leteni mrejesho mlioenda leo huko maswali yalikiwaje.
Kwanini huyo mdogo ako asije mwenyewe kuuliza?? Au ni wewe mwenyewe?Habari wapendwa katika bwana.
Tumsifu Yesu Kristo.
Assalam Aleykum.
Habari ...
Ndugu zangu naona Mwenyezi Mungu amefungua neema na mdogo wangu hajawahi kuitwa kwenye Interview ila hakukata tamaa ku update profile hatimate kaitwa katika interview siku ya tarehe 8 Juni. Post aliyoitwa ni Airport Security Officer.
Licha ya kupita JKT pia ana bachelor ya Information system. Natambua JF ni kisima cha maarifa pia kuna watu wengi wanajua mambo ya airport so naomba msaada wenu wa maeneo anayotakiwa kujiandaa kabla ya hiyo interview.
Nashukuru kwa ushirikiano.
Ukiangalia profile ya thread zangu utaona miaka ya 2012 niliomba niende kituo kipi baada ya kupata placement sehem mbili tofauti.Kwanini huyo mdogo ako asije mwenyewe kuuliza?? Au ni wewe mwenyewe?
Hapokei simu zangu katuma msg tu analalamika tu mtihani mgumu namsubir arudi nyumbani.Wakuu leteni mrejesho mlioenda leo huko maswali yalikiwaje.
Okay,basi mjengee dogo utamaduni wa kujitegemea, graduate anataka kila kitu afanyiwe na kaka? Haipendezi mzee mwenzanguUkiangalia profile ya thread zangu utaona miaka ya 2012 niliomba niende kituo kipi baada ya kupata placement sehem mbili tofauti.
Ukiona naulizia interview zangu mwenyewe basi zitakuwa za u director si hizi za chini.
Mwanaume unamucha ila wa kike unaweza mpoteza anajiandaa kwa upande wake ila JF tuna utamaduni wa kusaidiana ni kisima cha maarifa kuna watu wa kila aina humu.Okay,basi mjengee dogo utamaduni wa kujitemea, graduate anataka kila kitu afanyiwe na kaka? Haipendezi mzee mwenzangu
Hapokei simu zangu katuma msg tu analalamika tu mtihani mgumu namsubir arudi nyumbani.
Hapa Mkuu Jamaa aliwapa desa watu na kuna vitu vimetoka.Ajue namna ya ukaguzi wa watu na mizigo airport, ajue ni vifaa gani vinatumika kwa ukaguzi aijue tcaa,icao,iata,principles of security