Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Habari wapendwa katika bwana.
Tumsifu Yesu Kristo.
Assalam Aleykum.
Habari ...
Ndugu zangu naona Mwenyezi Mungu amefungua neema na mdogo wangu hajawahi kuitwa kwenye Interview ila hakukata tamaa ku update profile hatimate kaitwa katika interview siku ya tarehe 8 Juni. Post aliyoitwa ni Airport Security Officer.
Licha ya kupita JKT pia ana bachelor ya Information system. Natambua JF ni kisima cha maarifa pia kuna watu wengi wanajua mambo ya airport so naomba msaada wenu wa maeneo anayotakiwa kujiandaa kabla ya hiyo interview.
Nashukuru kwa ushirikiano.