Msaada katika Twitter account

Apr 14, 2017
21
5
Ndugu wanaJF,ninashida katika kujiunga account ya Twitter,kila nkijarb kujiunga inaniandkia "unfortunately Twitter has stopped" msaada wako ni wa mhm sana kwangu
 
Twitter sio ya kisport sport ndugu,,kama vip ukishafanikiwa nifollow Jonte
 
Nenda kwa settings, applications, kisha Twitter


“CLEAR DATA” and “CLEAR CACHE“

Rudi kwenye application ya Twitter ujaribu tena kulog in

Sorry; I have assumed unatumia Android powered device...
 
Back
Top Bottom