Msaada katika Itel P13

Msaada katika Itel P13

okiwira

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
3,459
Reaction score
3,842
Kila nikidownload WhatsApp inajiinstall baada ya masaa machache haifunguki inaleta ujumbe wa WhatsApp is to old "download" new nikidownload inaleta hivyo hivyo
 
Hebu angalia tarehe na muda wa simu yako kama iko updated na inaendana na muda halisi

Pia angalia kama playstore nayo iko updated.

Niambie Kama vyote vipo sawa.
 
Powa mkuu
 
Back
Top Bottom