Msaada katika hili tafadhali

Msaada katika hili tafadhali

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
3,260
Reaction score
6,330
Ana three ya 16 (Physics -E, Chemistry- S, A/maths- E. Je anaweza pata chuo cha kusoma Bachelor Degree?

Husika na mada tajwa hapo juu, nina mdogo wangu ana ufaulu tajwa hapo juu, je anaweza pata chuo cha kusomea shahada ( bachelor degree)?

Tafadhali wajuzi wa mambo nisaidieni. Maana guide ya tcu inasema minimum entry ni 4.0. Je kama haipo deploma anaweza pata?
 
Mkuu huyu mtafutie Diploma. Hana minimum admission criteria kwa Degree pgms
 
Husika na mada tajwa hapo juu, nina mdogo wangu ana ufaulu tajwa hapo juu, je anaweza pata chuo cha kusomea shahada ( bachelor degree)?

Tafadhali wajuzi wa mambo nisaidieni. Maana guide ya tcu inasema minimum entry ni 4.0. Je kama haipo deploma anaweza pata?
Hapa Tanzania kwa mwaka 2020/2021 HAIWEZEKANI
 
Diploma ya Electrical Engineering pale DIT....thank me later.
 
ndioo ila kwa level ya degree afu awe amefata utaratibu wa loan board
 
Points za division
A=1, B=2, C=3, D=4, E=5, S=6, F=7.

Points za kuingia university
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5, F=0.

Div I , 3–9
Div II, 10–12
Div III, 13–17
Div IV, 18 – 19
Div O, 20–21

*Tafsiri za points za kuingia chuo*
A, B, C,D na E = Principal pass
S= subsidiary
F= fail

*Ili MTU ajiunge na chuo kikuu*

AA, AB, AC, AD na AE
BB, BC, BD, na BE.
CC, CD na CE
DD.

*Niulize swali nitakujibu*
Ana three ya 16 (Physics -E, Chemistry- S, A/maths- E. Je anaweza pata chuo cha kusoma Bachelor Degree?

Husika na mada tajwa hapo juu, nina mdogo wangu ana ufaulu tajwa hapo juu, je anaweza pata chuo cha kusomea shahada ( bachelor degree)?

Tafadhali wajuzi wa mambo nisaidieni. Maana guide ya tcu inasema minimum entry ni 4.0. Je kama haipo deploma anaweza pata?
 
Na vipi kama amepata DES ya hkl hawezi kupata chuo cha private degree?
Hapana, hawezi soma degree!! Aanze diploma au akasome foundation programme ya OUT then akifaulu atasoma degree. Vyuo vyote Tanzania iwe private au government vipo chini ya TCU.
 
Back
Top Bottom