Rutamika Member Joined Aug 4, 2016 Posts 21 Reaction score 7 Dec 2, 2017 #1 Habari zenu wadau wa JF Nilikua naomba msaada wenu kwa anaefaham kutatua tatizo la sim ya Tecno Y4 kuna sms moja huwa inaingia kutoka kwa mtu nwingne na inafanana kila ninapokua ninaiwasha sim sijajua tatizo ni nini naomba msaada wenu...
Habari zenu wadau wa JF Nilikua naomba msaada wenu kwa anaefaham kutatua tatizo la sim ya Tecno Y4 kuna sms moja huwa inaingia kutoka kwa mtu nwingne na inafanana kila ninapokua ninaiwasha sim sijajua tatizo ni nini naomba msaada wenu...
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Dec 2, 2017 #2 Bila kutuonesha hiyo sms inayoingia utasaidiwaje labda?..
Rutamika Member Joined Aug 4, 2016 Posts 21 Reaction score 7 Dec 2, 2017 Thread starter #3 wick said: Bila kutuonesha hiyo sms inayoingia utasaidiwaje labda?.. Click to expand... Ni sms za kuforward tuu
wick said: Bila kutuonesha hiyo sms inayoingia utasaidiwaje labda?.. Click to expand... Ni sms za kuforward tuu
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Dec 2, 2017 #4 Rutamika said: Ni sms za kuforward tuu Click to expand... screenshot au andika inasemaje?...
Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 571 Reaction score 608 Dec 2, 2017 #5 Simu ya wizi hiyo. Tafadhali mrudishie mwenyenayo
Jumaaofficial JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 250 Reaction score 210 Dec 2, 2017 #6 Ndio matatizo yakukimbia shule hata lujielezea huwezi. Lowasa alisema kipaombele chake elimu
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,637 Dec 2, 2017 #7 Aiseee