.Chukua htc kama unachapaa ndef kidogo coz ni imara... bt kama salio dogo chukua huwawei tena ile y300 ni jiwe mbili unusu inayosoma lne zote... na jiwe na upuuzi kwenye maduka ya tigo
UHAWEI ndo simu gani?
nilipita mda c mrefu mjin nimeambiwa huawei y300 inauzwa kwa lak na sabin kwenye maduka ya tigo
HTC hupati kwa bei hiyo. Hiyo pesa ni nyembamba sana!ahsanten sana mim nina lak na nusu sasa cjajua kama kuna htc ya hiyo bei
Simu nayotumia mimi.
achana na hizo.kwa bei ukiyo nayo ongeza elf 30 tu udake tecno m5 hutojutia pesa yako mkuu
Inategemea na HTC gani unayoitaka, Kama ni hizi HTC One, hata zilizotumika ni vigumu kupata kwa bei hiyo labda iwe ya wizi.vp mkuu nikijivuta hadi lak 2 na nusu nitapata htc