msaada kati ya os ya windows phone na ios

dgratius

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
218
Reaction score
11
Kwa sasa natumia blackberry ila nataka kuhama nihamie kati ya windows au ios ,cjapendelea sana android kwa sababu haikai na charge naombeni msaada wenu wAkuu wenye ujuzi nihamie simu zenye os ipi
 
Strength za ios over wp(windows phone)
1.kuna apps nyingi store karibia laki 8 against laki na 45 za wp. Wp ina 80% ya apps 50 zinazodowloadiwa sana kwenye ios.

2.uhakika wa updates.
Hawa jamaa hadi simu za 2009 wanazisuport hivi karibuni ndo wametangaza kufuta support ya iphone ya mwanzo ya 2007. So inamaana unapata support hadi miaka 6.

3.urahisi
Iphone haina mambo mengi just unaboyeza menu inakuja apps launcher ukijumlisha na setting simu imekamilika

4.status katika jamii
Kwa nchi zetu za kibongo huku na hata nchi za ulaya ukimiliki iphone unaheshimika.

Vitu vinavyofanana
Iphone na wp wanafanana kwenye hardware optimization. Os imetengenezwa kurun kwenye hardware fulani ndio maana unakuta hazili charge na zipo very smooth. Mfano wp8 zote zinarun kwenye qualcom s4 krait processor na ios wao ni chip zao za Ax

Mahali wp anapomzidi iphone
1. Personalization
So far wp ndioi simu zilizo personal zaidi. Integration yake na social network ni ya ukweli na live tiles ni nzuri me tiles inaweza kufanya always pic yako iwe kwenye screen.

2.simu ya familia
Kids corner kwenye wp inakuwezesha kudesign apps na vitu unavyotaka mwanao aone. Room kwenye wp ni sehemu ya siri ambayo unawasiliana na watu muhimu kama wazazi na mkeo

3.great hardware
Kwenye wp ndio kuna wireless charge, simu yenye kioo kinachogusika na kila kitu, best cameraphone, best microphones

4.urahisi wa apps
Ukicompare na ios wp kuna free na trial ya apps nyingi za ios za kulipia

Yapo mengi ila machache ni hayo muhimu
 
Go for windowsphone ​@dgratius
imetulia
mengi keshasema chief-mkwawa
nadhani by windowsphone alikuwa anarefer zaidi Nokia Lumia series.
Windowsphone kama za samsung bado kuna vitu vinamisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…