Mining eng inalipa ila soko limited bongo Kama ni hadi huko Duniani uarabuni,west Africa Australia,kula mining.
Kama unaweza badili kula mechanic eng hii ni general popote unaingia viwandani,migodini,nk
Mtoto wa maskini usome Mining! Uta jiajiri Bodaboda 2028.
Kuna Dogo langu nilimwambia asome Medical Doctor aka goma. Leo ni boda boda mwaka 2 huu na Mining yake ya UDSM