Wapi ambapo serikali inataka watu?LABDA SPECIAL NEEDS.
LAKIN MKUU, SERIKALI IMESEMA HAIHTAJ WALIMU WA ARTS, WAMEJAA NA WA ZIADA WAPO
HATA WA SCIENCE WENGNE WAKO BENCHI.
Wapi ambapo serikali inataka watu?LABDA SPECIAL NEEDS.
LAKIN MKUU, SERIKALI IMESEMA HAIHTAJ WALIMU WA ARTS, WAMEJAA NA WA ZIADA WAPO
HATA WA SCIENCE WENGNE WAKO BENCHI.
Ulitaka kusema nn mkuu?Wapi ambapo serikali unataka watu?
Wapi ambapo serikali ina nafasi za ajira??Ulitaka kusema nn mkuu?
Sawa.Wapo ambapo serikali one nafasi as ajira??
Nilikuwa na-challenge hoja kwamba asiombe ualimu kwa sababu serikalini walimu wamejaa.
aende lawHuyu kasoma HGL na alitaka education kwahyo hana option nyingine ni kusoma tu
Asante kwa ushauriAkasome special needs .. likija suala la ajira hawako wengi compared to hao wa baed.. pia kama ataajiriwa na serikali lazima atapangwa katika center za miji maana shule zenye kuaccomodate wanafunzi wenye special needs ziko katika town centers na nyingi ni kubwa.. zaidi ana fursa zaidi ya kupata ushiriki wa kwenye tafiti na workshop mbalimbali compared na wahitimu wa baed..
KWA HIYO AENDE KWENYE SPECIAL NEEDS EDUCATION KUNA MICHEPUKO MINGI YA FURSA COMPARED NA BAED..
Aliikataa,anataka Education.aende law
haya ma kozi yamejaa watu bado wanayashabikia sijui kwaniniAliikataa,anataka Education.
Asante kwa ushauriaje tuu DUCE.....
.
.
kama ataenda hiyo special needs akagangamale kweli.. maana inahitajika roho ya kipekee kwny reality, kufundisha watoto/vijana wenye walemavu ustahimilivu wa nguvu unahitajika though utapewa mbinu mbalimbali ambazo utakabiliana nazo lkn haitatosha...
.
.
BAED at the end ni kuwa mwalimu wa kawaida tuu na kwa sasa ajira ndo hvo tena lkn still idadi yao haipungui....
DUCE fresher's wako 1000+
MAIN CAMPUS fresher's wako 1000+
MUCE fresher's wako 1000
.
kwhy atajipima mwnyw hapo, ila akuje tuu DUCE kwasababu still UD and UDOM itabaki UDOM
Unaenda kusoma Uchumi.Jamani nimechaguliwa b of arts in economics siifaam nilitaka education Kuna anaefaham msaada plz
Special needs kwa UDOM sikushauri!
Tafuta chuo kinaitwa Sebastian kolowa memorial university (SEKOMU) kama unataka kusoma special education na ukawa competent

sio kweli kwamba shule za watu wenye mahitaji maalum ziko mjin for other case sawa!Akasome special needs .. likija suala la ajira hawako wengi compared to hao wa baed.. pia kama ataajiriwa na serikali lazima atapangwa katika center za miji maana shule zenye kuaccomodate wanafunzi wenye special needs ziko katika town centers na nyingi ni kubwa..
Zaidi ana fursa zaidi ya kupata ushiriki wa kwenye tafiti na workshop mbalimbali compared na wahitimu wa baed..
KWA HIYO AENDE KWENYE SPECIAL NEEDS EDUCATION KUNA MICHEPUKO MINGI YA FURSA COMPARED NA BAED..
Special needa ni nzuri sana mkuu..utakuwa mwalimu lakini utakuwa pia translator wa mambo mbalimbali mfano radio,Wakuu naomba msaada mtu kachaguliwa hizo program na vyuo tajwa,ipi yenye tija zaidi baada ya kumaliza kwa kipindi hiki?
Hyo ya Udom in Bachelor of Education in special needs na DUCE ni Bachelor of arts with Education.
Wakuu naomba msaada mtu kachaguliwa hizo program na vyuo tajwa,ipi yenye tija zaidi baada ya kumaliza kwa kipindi hiki?
Hyo ya Udom in Bachelor of Education in special needs na DUCE ni Bachelor of arts with Education.