Asante kuna makampuni ambayp hujishughulisha na kufanya management ya social channels i.e., facebook pages, twitter or others za makampuni mengine. Mfano Kampuni X (social media management) ina manage social media za kampuni Y. Sasa mi nauliza kama kuna anayeijua hiyo X kwa hapa Tanzania, ninazozijua ni za Kenya pekee. Naamini sasa nimeeleweka
Kama ni management Tuna vijana wanafanya. Ila kama una maana ya marketing...big no!
Kama ni hiyo ya kwanza tuwasiliane. ilaka ni hiyo ya pili hatufanyi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.