Queen Rover
Member
- Apr 29, 2015
- 88
- 79
Habari wana jamii forum wenzangu...ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Nimekuja mbele yenu nikiwa muhitaji na nikiomba msaada wenu kwa hili....Mimi ni mwanafunzi wa TIA Dar es salaam campus - Nachukua Diploma in Procurement and Logistics Management.. Kwa sasa natakiwa kusambaza barua za maombi ya kufanya field kwenye makampuni mbalimbali....ningeomba msaada wenu wa yapi makampuni mazuri nianze nayo...na sehemu tofauti tofauti...na amini ushauri wako leo utakua msaada wangu kesho.
Asanteni. Muwe na siku njema