Hapana hawatofunga tena Ndoa Sheria ya kiislam inatambua ndoa za watu hao ndio maana hata Maswahaba ambao kabla hawakuwa Waislam ilibali wameoa walivyoingia kwenye Uislam hawakufungishwa tena Ndoa"Eti, ikitokea watu wawili wamefunga ndoa ya KIKRISTO pindi wakiwa wakristo, halafu baada ya muda wote wawili wakaamua kuslimu na kuwa waislamu. Je watafunga tena ndoa ya kiislamu?
Darasa huru, huu mjadala nimeukuta mahali katika pitapita zangu ila sijfanikiwa kupata jibu... Kama hujui like tu kisha pita soma maoni ya watu na ww utajifunza kitu.
Uzuri ulioje na Wepesi wa Dini ya KiislamKwa sheria ilivyo kama walikuwa na ndoa ya kikristo hapo hawana haja ya kufunga ndoa tena.
Wataendelea kuwa na ndoa ile Ile
Ndugu yangu unapoizungumzia ndoa unazungumzia jambo la kutekeleza amri ya mungu,hakuna ndoa ya serikali.Ndoa hufungwa kiserikali na kubarikiwa kidini. Mtu anapokwenda kanisani "kufunga" ndoa, basi kasisi anakuwa na cheti cha serikali na mamlaka ya kiserikali kufunga hiyo ndoa, lakini anakuwa na mamlaka ya kidini pia "kubariki" hiyo ndoa. Huyo mtu akibadilisha dini ile ndoa inabaki "imefungwa" na cheti cha ndoa kinabakia kuwa kinatumika. Akienda dini nyingine basi ni juu ya hiyo dini kuamua kama inataka "kuibariki" tena.
Inapendeza sana, Inavyoonekana kwenye Uislam hilo jambo halina shaka., Je, ikiwa Walikuwa Waislam wakaingia kwenye Ukristo hali ipoje??
Mkuu hicho Cheti kinahalalisha ndoa kwa mujibu wa nani? Kama Cheti ndo kinahalalisha Ndoa, Kanisani kinachofanyika ni nn?Kinachohalalisha ndoa Ni cheti.
Cheti Ni Cha Serikali.
Iwe Ni Muislamu au mkristo Cheti Ni kile kile.
Acha uongo wewe,kama hujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kupotosha..kama wanandoa wakisilimu ndoa inabaki vilevile wala haiguswi hata kidogo mzee..Ndugu yangu unapoizungumzia ndoa unazungumzia jambo la kutekeleza amri ya mungu,hakuna ndoa ya serikali.
Huwezi kukurupuka ukasema ndoa dini inapewa baraka na serikali!!!!huna dini wewe.ndoa hufungwa kidini ktk kutimiza agizo la mungu na kuacha katazo lake la zinaa.hivyo veti vimekuja miaka kadhaa baada ya Uhuru na ndoa zilikuwepo before.tunapewa vyeti kuthibitisha ndoa baada ya changamoto kuzidi kwny ndoa ikiwemo ya wanandoa kukanana.
Wanandoa wasio waislam wanaposilimu na kuwa waislam ndoa yao wataifunga upya sababu ndoa hiyo ya awali ilikua nje ya uislam.
Nje ya uislamu ndoa hiyo ni batili sababu kuna nguzo za ndoa ya kiislam lzm zifuatwe na nje ya uislam wana njia zao pia.
Kinachorudiwa upya ni ndoa si harusi.
nakua napata hasira sana kama mtu akiliongelea jambo la dini yangu kwa kutokujua au kupotosha..ushawahi skia wanandoa wamesilimu wakafunga tena ndoa?kwa taarifa yako ndoa inatambulika hata kama mlifunga ndoa ya kimila lakini mkisilimu ndoa ile ileNdugu yangu unapoizungumzia ndoa unazungumzia jambo la kutekeleza amri ya mungu,hakuna ndoa ya serikali.