sahihi mkuu, azingatie tu hayo ili apate huduma ka awaliNenda Polisi upate Loss report kwanza alaf ndio uende kwa waliokupatia hiyo kadi ya bima uwaeleze waiblock hiyo kadi na wakupatie nyingine. Alaf hebu Jifunze kuongea Kiswahili kizuri, eti nimepoteza bima ya afya, wewe hujapoteza bima,Bali umepoteza kadi ya bima ya afya,Pumbavu
Nadhani kuna wengi tu wanaamini ile kadi ndiyo bima yenyewe!Nenda Polisi upate Loss report kwanza alaf ndio uende kwa waliokupatia hiyo kadi ya bima uwaeleze waiblock hiyo kadi na wakupatie nyingine. Alaf hebu Jifunze kuongea Kiswahili kizuri, eti nimepoteza bima ya afya, wewe hujapoteza bima,Bali umepoteza kadi ya bima ya afya,Pumbavu
Makao Makuu yapo Jijini Dodoma Barabara ya Kikwete iendayo UDOM. Huwezi kuipata kwa haraka bali utafuata taratibu kama ilivyoelezewa hapo juu.Je nikienda makao makuu naweza kupata kadi yangu kwa haraka.
Kadi imepotea nahitaji nyingine.
Pia naomba kujua makao makuu ni wapi?
Makao Makuu yapo Jijini Dodoma Barbara ya Kikwete iendayo UDOM. Huwezi kuipata kwa haraka Bali utafuata taratibu kama ilivyoelezewa hapo juu.
Nenda ofisi ya NHIF za mkoa uliopo watakupatia fomu ya kujaza na kuipeleka kituo cha polisi, kisha rudisha ofisi kwao, kitambulisho kipya kitakugharimu sh. 20,000.00
Ulifanikiwa kuipata baada ya mgan mkuu au bado hujaipataAsante ila ishu sio gharama ila nahitaji kuipata angalau kabla ya ijumaa.