Msaada: Kama kuna mtu anafanya kazi RITA naomba anisaidie

RITA ya posta ni wasumbufu waliotukuka,nilishawahi kufatilia cha mwanangu tena nilikuwa nakihitaji haraka sana kama wewe maana nilikuwa natakiwa kusafiri na nilikuwa nahitaji haraka ili nimfungulie Bima ya afya ila usumbufu wake nilijuta Mara kilikosewa Mara hawaoni kumbukumbu Mara njoo week ijayo,maskini kumbe kilikuwa tayari muda tu!nilivyobadili gia angani nilikipata kwa dk 15tu
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport

Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa

Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent by Diaspora
 
Nenda kamuona boss wao ulizia utaonyeshwa offisi yake nenda kamuone utasaidiwa lakini ukiongea na hao waliopo chini ni wababaishaji sana
 
Usitoe pesa za rushwa unaweza ukajikuta huna safari tena ukaishia jela au ukawapa vishoka nenda tu kamuone boss mueleze matatizo yako atakusaidia ila kama boss ni mwanamke utapata tabu sana
 
Pole mtoa Uzi na good luck katika mapambano ya kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtoto,again hii ilitakiwa isiwepo kabisa kama hawa watawala wetu wangekuwa wanafanya kazi zao jinsi inavyotakiwa maana kiutaratibu ilitakiwa mtoto wako awe na cheti chake cha kuzaliwa siku iliporuhusiwa baada ya kuzaa,na cheti hicho kilitakiwa kiwe ndani ya central data systems ya watanzania ndani ya wizara yetu ya mambo ya ndani,na incase kinapotea ni rahisi unakwenda kwenye ofisi za wizara ya mambo ya ndani na ID number yake na wanakuchapishia kingine,ila bado sana na tuendelee kulala wakati nchi zingine wanaboresha mno kuhusu takwimu za raia wake.
 
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport

Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa

Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Tinga Magogoni pale WH muone mkuu wetu ukishindwa tafuta namba ya PM Majaliwa, utaona wanakupigia simu wenyewe ukachukue au uwaelekeze ulipo wakuletee..
 
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport

Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa

Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, sio cheti cha kuzaliwa tu, lazima uwe na kitambulisho cha taifa. Ni bora ukose cheti lakini uwe na kitambulisho cha taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mtoa Uzi na good luck katika mapambano ya kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtoto,again hii ilitakiwa isiwepo kabisa kama hawa watawala wetu wangekuwa wanafanya kazi zao jinsi inavyotakiwa maana kiutaratibu ilitakiwa mtoto wako awe na cheti chake cha kuzaliwa siku iliporuhusiwa baada ya kuzaa,na cheti hicho kilitakiwa kiwe ndani ya central data systems ya watanzania ndani ya wizara yetu ya mambo ya ndani,na incase kinapotea ni rahisi unakwenda kwenye ofisi za wizara ya mambo ya ndani na ID number yake na wanakuchapishia kingine,ila bado sana na tuendelee kulala wakati nchi zingine wanaboresha mno kuhusu takwimu za raia wake.
Mtoto amezalia januari na nilipeleka tangazo mwanzoni mwa february ambapo nilipangiwa kuchukua cheti mwishoni mwa february ila mpaka ijumaa nilienda wakanipiga tarehe ya mwezi wa nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nenda Mererani pale getini utakuta jamaa wamevaa mabakabaka, waelezee tu watakusaidia. Hawana tatizo kabisa.
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport

Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa

Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport

Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa

Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekufuata sana inbox naona hujibu.
 
Sidani kama itaisha unless ssirikali iboreshe mazigira ya kazi pamoja na maslahi ya watumishi wa umma, maana watu wa hali ya chini wasiokuwa na hela ndio wanaoumia na hawapati huduma stahiki kwa wakati muafaka
Daah hii rushwa sasa imekuwa kama haki ya mtu sijawahi kabisa kufikiria kuiweka kama chanzo changu cha kipato nachukia sana kumhudumia mtu hadi anipe rushwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom