Msaada: Kama kuna mtu anafanya kazi RITA naomba anisaidie

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,331
2,000
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport

Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa

Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,055
2,000
Vyeti huwa vinatolewa baada ya wiki 2(maximum) inategemeana na wingi wa watu.

Kupata haraka inategemeana na ¨kushikwa mkono¨ kama Mzee Mtemvu aliyepata cheti cha kuzaliwa cha bint yake yule miss mzee ndani ya masaa.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,896
2,000
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport

Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa

Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui laws of the jungle? Hivi kweli shida kama hii unaipost hapa hata kama kuna mtu anayeweza kufanya short-cut atathubutu kujitokeza? Au unafikiri bado tuko zama za Kikwete?
 
Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
546
1,000
Mbona inawezekana kupata siku moja wiki iliopita ndugu yangu kapata siku moja tu cheti ila alilipa fifty
Habari zenu
Nina shida pale RITA makao makuu, naamini ntapata msaada hapa, nahitaji cheti cha mtoto as soon as possible, na tarehe walionipa ya kuchukua ni next month wakati najitaji kusafiri wiki ijayo na mtoto atahitaji passport, bila cheti siwezi kupata passport

Nimejaribu kufatilia zaifi ya mara tatu nimeeleza uharaka ila sijafanikiwa

Mwenye kuweza kunisaidia nikakipata kabla ya alhamisi nitashukuru

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitalis Msungwite

Verified Member
May 11, 2014
2,177
2,000
Mwaka jana Nilipata cheti cha mtoto ndani ya masaa 3, alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 6. Niliambiwa niwe na taarifa sahihi za mtoto kabla ya kwenda. Kurahisisha mambo nilidownload form yao mtandaoni, niliijaza kila sehemu ya jina lazima majina matatu. Nilifika ofisini wakanipa form nyingine nikahamisha taarifa za form ya kwanza kwasababu ni outdated baada ya masaa matatu nikapewa cheti. Hata huo muda niliokaa ni kwasababu mtu wa kusaini hakuwepo ofisini. But mwaka 2010 nilitumia dk chini ya 20 maana nilifika nikajaza form wakaprint na kusain nikasepa. Hii ni Mbarali sijui huko kwenu labda wanataka mjiongeze au watakuwa na foreni kubwa ndio maana wakakupa muda huo.

Barafu la moto
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,268
2,000
Nimeenda rita ila wameniambia nisubiri mpaka tarehe niliyoandikiwa kuchukua cheti ndio maana nahitaji msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda RITA na document zote za mtoto ukifika unaonana na mhusika au secretary wa pale mwambie unakihitaji Leo Leo cheti wanakutengenezea na kinawekwa mbele kupelekwa kwa boss ili kisainiwe ila uwe na elfu30 mkononi hivihivi utakipata zaidi ya hiyo 2weeks
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom