natumia samsung shw-m240s imetoka korea. tatizo inautofauti katika text compose yaani kipimo chake ni kwa bite80. na maanisha uwezi andika text ikazidi byt80.
je naweza badilisha vipi huu mfumo kwani nashindwa pokea text ndefu na kuandika text ndefu pia.
nb: samahani kwa kutumia lugha mbili natanguliza shukrani