Michael evarist Member Joined Jun 28, 2021 Posts 5 Reaction score 7 Jul 9, 2021 #1 Kwa yeyote ambae na mawasiliano na mwalimu wa vyuo vya ufundi vifutavyo anisaidie 1: veta Chang'ombe 2: Veta pwani 3: Veta manyara 4: veta mtwara Maana sijajibiwa kwa njia ya email na simu zao hazipokelewi.
Kwa yeyote ambae na mawasiliano na mwalimu wa vyuo vya ufundi vifutavyo anisaidie 1: veta Chang'ombe 2: Veta pwani 3: Veta manyara 4: veta mtwara Maana sijajibiwa kwa njia ya email na simu zao hazipokelewi.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,687 Jul 9, 2021 #2 Michael evarist said: Kwayeyone ambae na mawasiliano na mwalimu wa vyuo vya ufundi vifutavyo anisaidie 2: Veta pwani Click to expand... +255 753 714 059
Michael evarist said: Kwayeyone ambae na mawasiliano na mwalimu wa vyuo vya ufundi vifutavyo anisaidie 2: Veta pwani Click to expand... +255 753 714 059
Michael evarist Member Joined Jun 28, 2021 Posts 5 Reaction score 7 Jul 9, 2021 Thread starter #3 Shukurani
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,757 Reaction score 6,292 Jul 9, 2021 #4 Hawapokei simu yako kwa sababu hujuwi hata kuandika lugha yako....wanaona utawatia haibu. hazipokerewi = hazipokelewi!
Hawapokei simu yako kwa sababu hujuwi hata kuandika lugha yako....wanaona utawatia haibu. hazipokerewi = hazipokelewi!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,992 Reaction score 195,762 Jul 9, 2021 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,812 Reaction score 2,052 Jul 9, 2021 #6 mbongo_halisi said: Hawapokei simu yako kwa sababu hujuwi hata kuandika lugha yako....wanaona utawatia haibu. hazipokerewi = hazipokelewi! Click to expand... haibu= aibu SUKAH
mbongo_halisi said: Hawapokei simu yako kwa sababu hujuwi hata kuandika lugha yako....wanaona utawatia haibu. hazipokerewi = hazipokelewi! Click to expand... haibu= aibu SUKAH