msaada juu ya utoaji mimba...

msaada juu ya utoaji mimba...

Kimsingi huyo anafanya mauaji damu ya huyo mtoto itamlilia toka ardhini.
 
Kwa daktari aliyekaa darasani hawezi fanya huo ujinga cos ethics zao haziruhusu, but kwa kwa hawa waganga wa kienyeji jamii ya akina maji marefu, jiandae kugegedewa Huyo mpenzio.
 
Back
Top Bottom