msaada juu ya utoaji mimba...

msaada juu ya utoaji mimba...

Fredy89

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
99
Reaction score
111
habari zenu wakuu!
tuje moja kwa moja kwenye kichwa cha habari,je inawezekanaje mwanamke aende kutoa mimba bila doctor kuungilia(kujamiana) kutoka na hospital nyingi madoctor ni vijana au pengine doctor lazima atake kujamiana pindi anapomaliza kazi yake.swali langu ni kwamba daktari anaweza kuvumilia mpaka kumaliza kazi yake bila kutamani kwa sababu watoaji mimba wengi ni chini ya umri wa miaka ishirini.ushauri wemu wakuu......asanteni sana
 
Kwani nani anataka kutoa mimba?
Mwambie mbali na kuingiliwa kutoa mimba si vizuri. Mwache azae na wewe jiandae kulea.
 
Kwani nani anataka kutoa mimba?
Mwambie mbali na kuingiliwa kutoa mimba si vizuri. Mwache azae na wewe jiandae kulea.
hakuna anayetaka kutoa ila daktar anaweza kuvumilia wakat wa utoji bila kutaman.ni swal tu nilikuwa nauliza
 
Hahaha unawasi wasi papuchi ya demu wako imegegedwa na daktari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usijali wakati wa process Mara nying hua na nurse kwa ajili ya usaidizi[emoji23] [emoji23]
 
hakuna anayetaka kutoa ila daktar anaweza kuvumilia wakat wa utoji bila kutaman.ni swal tu nilikuwa nauliza
Anaweza kabisa kuvumilia. Sema wengine siyo waaminifu.
Huwa wanawaingilia kabla ya kutoa mimba.. Siyo baada.
 
Maada zingine tata sana, ila nachojua Mimi baada ya kutoa mimba huwa kuna maumivu kwenye papuchi so mkunwaji hawezi kunwa!
 
Hili wimbi la kudhani kuwa madoctor wana uchu sana na uchi za wanawake ni potofu, kulingana na mazingira ya hospital yalivyo uchi si kitu kigeni kabisa kwa doctor, huwa nashangaa kabisa watu wanaodhani doctor/nurse anafaidi sana kuona uchi wa mgonjwa.
 
SASA KIJANA MBONA KAMA UNA UBINAFSI HIVYO UNATAKA SISI TUFANYAJE SASA TUTUMIE SABUN WAKAT ZPO TUNAZIONA HALAF KAZI YENYEWE NI RISK JE TUKIKAMATWA .
 
Back
Top Bottom