MSAADA JUU YA UANDISHI WA BARUA KWA TRA

MSAADA JUU YA UANDISHI WA BARUA KWA TRA

El fadiga

Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
39
Reaction score
50
Ndugu wana jf, tra waliwahi kuja kufanya tathmini katika biashara zangu wakaniambia nilipe kiasi fulani kama kodi, lakini makadirio hayo kwa sasa naona sipati kitu kabisa, hivyo ninapenda kuwaandikia barua ya kuwaambia wanipunguzie kodi kwa kuwa biashara imeganda tu.

Ninaomba mwenye sample au namna ya kuandika barua hiyo anisaidie.

Natanguliza shukrani zangu kwa imani kuwa tupo humu kusaidiana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom