Msaada juu ya tcu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada juu ya tcu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba advent, Apr 5, 2012.

 1. B

  Baba advent Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Jamani naomba kusaidiwa kufungua a/c ya tcu kuna kipengele kinahitaji vocha namba sijajua hicho kitu kinapatikana wapi'kwa anayejua hiyo vocha namba inalkuwaje anielekeze.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nenda crdb bank,znauzwa tsh 30000.
   
 3. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wakuu wameandika application for 2011/2012 ipo sawa kweli MSAADA plse!!!!!!!!!!
   
 4. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,434
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  waliomaliza 2012 bado TCU hawajafungulia application!
  ni vizuri ukisubiri results, kama alivosema mdau hapo huu tsh.30,000 itahusika pale CRDB.
  nyie ni 2012/13 hao wa 2011/12 now ni 1st yr.
  keep on waiting!
   
 5. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mzee application imefunguliwa kwa wale waliohitimu miaka ya 1988 hadi 2011.Waliomaliza 2012 ni hadi matokeo yao yatoke. Vocha inauzwa NBC Tsh 30,000 na sio CRDB kama wanavyosema wadau. Nakushauri usome kwa makini sana ile "Student's Guidebook kabla haujaanza chochote! Maelezo yote yapo kule.
   
 6. B

  Baba advent Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Shukrani wakubwa nimewapata.mi natakiwa kuapply sa ivi maana 6 nimeondoka 2006 na dip 2010.
   
Loading...