muggyen
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 347
- 254
Hello there,
Naamini jf ni kila kitu na hapa kuna wataalam wanaofahamu hii kitu
Hii ni software nliambiwa na rafiki yangu kwamba naweza kutumia kuunlock simu yangu (huawei y300 by then) ila nilipo download kutoka internet na kujaribu kutumia iliniambia message ya no sd cards found mara saa nyingine wanasema install sigma box drivers nlijitahidi kutafuta izo drivers kwenye internet na kudownload ila cha kushangaza bado halikutatua tatizo mpaka hivi leo naamini humu kuna watu.wenye ufahamu juu ya hili basi msisite kushare comments humu kwa ajili ya kujifunza
Thanks in advance
Jf users should keep the spirit of sharing information
Have a nice day