msaada juu ya screen ya ditel

msaada juu ya screen ya ditel

Jemsi

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
149
Reaction score
20
habari zenu wakuu. natumai nyote ni wazima.
Nina tatizo kwenye simu yangu aina ya DITEL nikiiwasha inawaka lakin screen haionyeshi chochote.kinachoonekana ni mwanga kwa mbali. lakin nikigusa screen ninasikia kabisa ikisense.naomben mwenye ujuz anisaidie hakuna nilichokifanya ni simu imebadilika gafla. natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom