prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 192
mwenye ufahamu juu ya duka linalouza kwa bei nzuri pamoja na Bei au gharama ya vifaa kama power window main na zile za kawaida, spear tyre zile tairi ndogo, redio, jeki, vyote vya gari ndogo aina ya PASSIO.