Jisomee kuhusu wi-fi, ukishaijuwa sawasawa hautouliza swali ulilouliza.
Nyumbani kwangu nnayo nairusha kutoka kwenye simu yangu, code yake ni "faizafoxy" karibu uitumie maana nnanunuwa kifurushi cha mwezi unlimited na sijawahi kukimaliza hata mwezi mmoja.