Msaada juu ya matumizi ya Banggood Ecommerce

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
963
Reaction score
437
Habari za kazi wakuu,

Nimekuwa nikitafuta alternative ya kikuu kuachana na aliexpress kwani kikuu vitu vunawai derived lakini tatizo bidhaa nyingi hakuna hasa za electronic na aliexpress zipo ila kununua mizigo ije kufika jau na unakuta resistor unanunua kwa $2.

Lakini ili mzigo uwahi mpaka shipping ulipie kama $5 hii inakuwa changamoto kwa sisi tunaofanya projects za electronics kusubiri resistors mpaka Mwezi na nusu alafu kakitu unasubiri mara kagome ivo katika kuzunguka zunguka nikakutana na Banggood website imekaa kama kikuu japo naiona inavitu vingi sana, sasa nilikuwa naomba kama kuna mwenye uzoefu nayo atupatie mwangaza.

Nawasilisha Mada mezani
 
Banggood in reputation mbovu sana, wanaweka listing ya items nyingi ambazo hawana kwenye stock. www.gearbest.com wana uhafadhali kidogo lakini pia ningekushauri uizoee Aliexpress maana wana team ambayo ni wazoefu. Kuhusu swala la kuchelewa kwa bidaa/items wakati mwingine ni uchumi tu, unapolipia usafiri wa posta za kawaida kama Hong Kong Post au China Mail kuchelewa ni lazima tofauti na ukatumia courier service kama DHL au FedEx. Jitahidi ujipange wakati wa project unaagiza vifaa vingi kwa wakati mmoja ata kama ni kwa ajili ya multiple projects vitakua bundled kwenye package moja na utume kwa courier service, kimahesabu inaweza kuwa nafuu zaidi. Pia ukumbuke nature ya e-commerce nchini China ni kuwa siyo kila anaelist items online anakua na stock ya hizo items, wengi wanafanya backorder baada ya wewr kulipia, so anaweza kuwa Beijing kiofisi lakini items anachukua Shenzhen kwa hiyo chances za delays zinazidi kuwa juu.
 
Upande wa Alibaba naona hawaruhusu kununua kitu kimoja hivi vidogo vidogo.
Lazima uchukue pc 20 of 100.pia ili ulipie ni lazma uchek na seller kwanza.

Sijui mimi ndo siwaelewi.....
 
utaenda utarudi Aliexpress ndio baba lao, hapa naongelea wingi wa items

kuhusu kuchelewa kwa bidhaa, , muuzaji ndio anahusika na sio iyo platform ya uuzaji, muuzaji uyo uyo yupo Ebay, yupo Aliexpress, yupo Bangood, yupo Amazon, yupo Gearbest

kama hulka yake ni ku back-order na kuku tumia, atachelewesha ivyoivyo haijalishi anatumia platform ipi

ukija kwa shipping, kuna classes pale, kulingana na mfuko wako

kuna Economy, Standard na Express,

kwa mizigo ya 'kawaida' Aliexpress( au Ebay,Bangood,Gearbest ), ukichukua standard shipping ya $ 3.0 ivi, delivery inakua around 2 weeks ( China to Posta Kuu )

kama una mizigo midogo ya kuagizia mfano: resistors, ICs, microprocessors sijui diodes ( sana sana najua unaweza usizidi 1kg ), unaagizia vingi kwa mkupuo then unatumia Alibaba

Kwa DHL hua inagonga $ 50 flat kwa izo takataka ( hazizidi 1kg) , ndani ya siku 6 vinatua AirPort pale, mimi binafsi hua nafanya ivyo
 
Mtaalam hivi hawa Aliexpress wana mawakala wa kusambaza vitu tunavyoagiza mtandaoni kama kikuu? Maana sisi wa mikoani kikuu wanatufikia kwa urahisi.
Vipi kuhusu kodi ya vitu vidogo vidogo kwa upande wa Aliexpress?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pitia huu uzi hapa, kama unataka kununua mwenyewe bila 'wakala', kuna kila kitu kwenye uo uzi

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni - JamiiForums

la unataka kununuliwa na kuletewa , pitia huu uzi hapa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
 
Back
Top Bottom