Samily de cruze
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 230
- 683
Hellow Wana jamii,
naomba MSAADA kwa mtu yeyote yule ambaye anaweza fahamu kuhusu majibu ya application nimeapply chuo Cha TIA (Tanzania institute of accountancy) kwa ngazi ya cheti sijajua majibu yanatoka muda gan au siku gani.
Kwa anae fuahamu au aliye na uzoefu juu ya Hilo naomba usaidizi kwa Hilo waungwana.
ASANTE.