Iko hivi...ili mfanyakazi astahili kupata likizo yoyote anatakiwa kuwa amefanya kazi kwa kipindi kisichopungua miezi 6.Kwa huyo rafiki yako kama amefanya kazi katika muda ambao ni pungufu ya miezi.6 anaweza kupewa maternity leave ila isiyo ma malipo na the minimum she can go back to work ni baada ya miezi miwili baada ya uthibitisho wa Daktari kuwa anaweza kufanya kazi.